Ruka hadi maudhui
MAGARI CHAP CHAP

01 / Uza au badilisha gari

Uza gari lako kwetu.

Tunanunua magari ya aina zote, na tunafanya exchange. Tutumie taarifa na picha za gari lako, tutalikagua na kukupa ofa kulingana na hali yake.

  1. 01

    Tuma taarifa na picha

    Jaza fomu hii kwa dakika chache, pamoja na picha za gari.

  2. 02

    Tunalikagua gari

    Tutawasiliana nawe kupanga siku ya ukaguzi.

  3. 03

    Tunakupa ofa

    Ofa yetu inategemea hali halisi ya gari baada ya ukaguzi.

Taarifa za gari lako

Unataka nini?
Gari lako
Picha za gari

Hadi picha 8: mbele, nyuma, pembeni, ndani na odometer. JPG, PNG, WebP au HEIC, kila moja chini ya MB 10.

0 / 8

Taarifa zako

Kwa kutuma, unakubali tuwasiliane nawe kuhusu ombi lako. Soma sera ya faragha.

Tuandikie WhatsApp